π°ππππππππ ππππ ππππππππ ππ πππππππππππ!
Kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi, tunatoa shukrani za dhati kwa wananchi wote wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa mapokezi makubwa, ushiriki wa hali ya juu na ari kubwa mliyoionesha katika mikutano na shughuli mbalimbali za chama. Mwitikio wenu umeonyesha imani kubwa mliyonayo kwa CCM na uongozi wake katika kusimamia maendeleo ya wananchi. Tunawapongeza kwa kuendelea kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ambayo imeendelea kuleta mafanikio katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, miundombinu, maji, nishati na huduma za kijamii. Maendeleo yanayoonekana leo ni ushahidi wa ushirikiano mzuri kati ya serikali na wananchi. CCM itaendelea kusimama imara kuhakikisha ahadi zote zinazotolewa kwa wananchi zinatekelezwa kwa vitendo, huku ikiendeleza misingi ya amani, umoja na maendeleo. Asanteni Kilimanjaro kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari ya maendeleo ya Taifa letu. MTUMISHI WA WOTE NDUGU KENANI LABAN KIHONGOSIππ» _______________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini!
πππππ ππ ππππππ πππ ππππππ πππππππ ππππ ππ ππππππππ ππππππππ ππ πππ πππππ
ππππ
01-06-2026
πππππππ ππ πππ ππππ
π πππππ πππππ ππππππππ πππ, πππππππππππ
01-06-2026
πππππππ ππ πππ ππππ
π πππππ πππππ ππππππ ππ πππ ππππ ππ πππππππππππ
01-06-2026
ππ ππππ ππ πππππππ-πππππππππππ ππππ
01-06-2026
ππππ πππππ ππππ ππππππ πππππ ππ ππππ ππππππ πππππππ ππ πππππ
01-06-2026
MAWENZI YAVUNJA REKODI: MITUNGI 3,313 YA OKSIJENI YAZALISHWA KWA MIEZI 6, ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 126 ZAOKOLEWA!
01-06-2026
MAFURIKO YA WANANCHI WA SIHA KWENYE MKUTANO MKUBWA WA HADHARA
01-06-2026
MAPOKEZI YA KATIBU MWENEZI WA CCM NDUGU KENANI L KIHONGOSI MKOANI KILIMANJARO
01-06-2026
π° πππππππππ πππππππ πππ ππππππππ πππππππππππ
01-06-2026
CCM INAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA EID AL ADHA
01-06-2026
π°VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA VYAIMARISHA MSHIKAMANO, DKT. DIMWA AHITIMISHA MAFUNZO MAALUM
01-06-2026
KATIBU WA NEC, ITIKADI, UENEZI NA MAFUNZO CCM TAIFA NDUGU KENANI KIHONGOSI AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ISIMANI EMMANUELA KAGANDA MTATIFIKOLO
01-06-2026
MUENDELEZO WA MAFUNZO YA VIONGOZI KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE β KIBAHA
01-06-2026
SIKU YA KWANZA YA MAFUNZO KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE LEADERSHIP SCHOOL.
01-06-2026
UFUNGUZI WA MAFUNZO YA VYAMA SITA RAFIKI VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA
01-06-2026
MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CPC, KOMREDI LIU HAIXING IKULU DAR ES SALAAM
01-06-2026
KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM
01-06-2026
CCM NA FRELIMO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIUCHUMI
01-06-2026
UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA ULINZI WA TAIFA
01-06-2026
CCM YAIPA POLE MSUMBIJI KWA KUKUMBWA NA MAFURIKO
01-06-2026