Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐅𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐌𝐊𝐎𝐀 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐍𝐘𝐀𝐑𝐀 𝐋𝐄𝐎!!!

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Kenani Laban Kihongosi, leo anahitimisha ziara yake mkoani Manyara kwa kutembelea Wilaya ya Simanjiro. Ziara hiyo imelenga kuimarisha chama, kusikiliza wananchi, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM pamoja na kupokea na kusikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi. Wananchi na wanachama wote mnakaribishwa kushiriki katika shughuli za ziara hiyo. Tembelea: ccm.or.tz ________ #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #KaziInaendelea #CCMImara

alternative
Habari Nyingine