Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐊𝐈𝐇𝐎𝐍𝐆𝐎𝐒𝐈 𝐀𝐓𝐄𝐌𝐁𝐄𝐋𝐄𝐀 𝐒𝐇𝐈𝐍𝐀 𝐍𝐀. 𝟐 𝐊𝐀𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐁𝐎𝐍𝐆𝐀

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, leo ametembelea Shina Na. 2 Kata ya Bonga ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kukagua uhai wa Chama na kuimarisha shughuli za CCM ngazi ya msingi. Katika ziara hiyo, Kihongosi alisikiliza maoni ya wanachama, kukagua utekelezaji wa shughuli za Chama na kusisitiza umuhimu wa mshikamano, uwajibikaji na ushiriki wa wanachama katika kuendelea kuijenga CCM imara kuanzia ngazi ya shina hadi taifa. Tembelea: www.ccm.or.tz _______ #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #CCMImara #KaziInaendelea

alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine