Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐊𝐈𝐋𝐈𝐌𝐎 𝐂𝐇𝐀 𝐔𝐌𝐖𝐀𝐆𝐈𝐋𝐈𝐀𝐉𝐈 𝐍𝐈 𝐔𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐎 𝐖𝐀 𝐌𝐀𝐏𝐈𝐍𝐃𝐔𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐔𝐌𝐈 𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐍𝐂𝐇𝐈: 𝐊𝐈𝐇𝐎𝐍𝐆𝐎𝐒𝐈

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, amesema kilimo cha umwagiliaji ni nguzo muhimu ya kuongeza uzalishaji, kuimarisha usalama wa chakula na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi. Kihongosi ametoa kauli hiyo alipotembelea na kukagua Mradi wa Umwagiliaji wa Mgambalenga wilayani Kilolo, unaotekelezwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 23.9. Amesema mradi huo ni sehemu ya jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo na kuboresha maisha ya wananchi. Tembelea: www.ccm.or.tz _________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #Iringa

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine