Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐍𝐈 𝐙𝐀𝐌𝐔 𝐘𝐀 𝐏𝐖𝐀𝐍𝐈; 𝐀𝐑𝐃𝐇𝐈 𝐘𝐀 𝐇𝐈𝐒𝐓𝐎𝐑𝐈𝐀, 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐀𝐍𝐀𝐊𝐔𝐉𝐀!!!!!

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi mkoani Pwani kuanzia tarehe 01 hadi 03 Julai, 2026, kwa lengo la kuimarisha uhai wa Chama, kusikiliza wananchi, kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM na kukagua miradi ya maendeleo. Katika ziara hiyo, Ndugu Kihongosi ataanzia Kibaha tarehe 01 Julai, kisha Rufiji tarehe 02 Julai, na kuhitimisha Mkuranga tarehe 03 Julai, 2026. Pwani mpo tayari? Tembelea: www.ccm.or.tz __________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #MtumishiWaWote #Pwani

alternative
Habari Nyingine