Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐊𝐇𝐄𝐑𝐈 𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐓𝐎𝐓𝐎 𝐖𝐀 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐊𝐀

alternative

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaungana na Watanzania na Waafrika wote kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika, tukiamini watoto wa leo ndio Dira na matumaini ya Taifa la kesho. Tembelea: www.ccm.or.tz _________ #SikuYaMtotoWaAfrika #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini

alternative
Habari Nyingine