Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐊𝐈𝐇𝐎𝐍𝐆𝐎𝐒𝐈 𝐑𝐀𝐒𝐌𝐈 𝐈𝐑𝐈𝐍𝐆𝐀!!

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, ameanza rasmi ziara yake ya kikazi mkoani Iringa kwa kuanzia Kata ya Ruaha Mbuyuni, Wilaya ya Kilolo. Ziara hiyo inalenga kukagua uhai wa Chama, kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM, kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi. Mkoa wa Iringa ni mkoa wa 13 kutembelewa katika mwendelezo wa ziara zake za kikazi nchini. 📍 Ruaha Mbuyuni, Kilolo-Iringa 18 Juni, 2026 Tembelea: www.ccm.or.tz ______ #KaziNaUtuTunasongaMbele #Mtumishiwawote #CCMIpoKazini #Iringa

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine