Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐑𝐔𝐀𝐇𝐀 πŒππ”π˜π”ππˆ π˜π€π…π”π‘πˆπŠπ€; β€œπ‚π‡πˆπ„π… π‚π‡πŽπ†π€π•π€π“π€πŒππ”π‹π„β€ π€πŠπˆπ“π„πŠπ€ πŒπŠπ”π“π€ππŽ 𝐖𝐀 𝐇𝐀𝐃𝐇𝐀𝐑𝐀!

alternative

Shangwe, nderemo na vifijo vilitawala Kijiji cha Ruaha Mbuyuni wakati Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Ndugu Kenani Laban Kihongosi,(Chief Chogavatambule), alipohutubia mkutano mkubwa wa hadhara ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi mkoani Iringa. Wananchi wa Ruaha Mbuyuni walijitokeza kwa wingi kumpokea β€œMtumishi wa Wote”, wakionesha imani yao kwa CCM na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mkutano huo ulitoa fursa kwa wananchi kusikilizwa, kueleza changamoto zao na kupata ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya maendeleo yanayotekelezwa na CCM na Serikali yake. Tembelea: www.ccm.or.tz _________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #MtumishiWaWote #CCMIpoKazini

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine