Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


🔰 𝐀𝐆𝐎𝐒𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐎, 𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐎𝐍𝐆𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐍𝐀𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀!

alternative

Kuanzia mwezi wa Agosti 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, ataongoza mafunzo ya Itikadi, ujenzi wa Chama na kampeni ya kuongeza wanachama wapya katika maeneo mbalimbali nchini. Lengo ni kuendelea kuimarisha Chama, kujenga viongozi na wanachama wenye uelewa wa Itikadi ya CCM, pamoja na kupanua wigo wa ushiriki wa wananchi katika ujenzi wa Chama na Taifa. Tembelea: www.ccm.or.tz ______ #KaziNaUtuTunasongaMbele #KenaniLabanKihongosi #UjenziWaChama

alternative
Habari Nyingine