Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐒𝐇𝐈𝐑𝐈𝐊𝐈 𝐌𝐀𝐀𝐃𝐇𝐈𝐌𝐈𝐒𝐇𝐎 𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐇𝐔𝐉𝐀𝐀 𝐃𝐎𝐃𝐎𝐌𝐀

alternative

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 25, 2026, ameshiriki Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa yaliyofanyika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. Katika maadhimisho hayo, Rais Samia ameweka shada la maua kwenye Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa kwa heshima ya mashujaa waliolitumikia na kulinda Taifa. Tembelea: www.ccm.or.tz ______ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine