Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐍𝐃𝐆. 𝐑𝐀𝐁𝐈𝐀 𝐀𝐏𝐎𝐊𝐄𝐋𝐄𝐖𝐀 𝐌𝐊𝐎𝐀 𝐖𝐀 𝐋𝐈𝐍𝐃𝐈 𝐊𝐔𝐀𝐍𝐙𝐀 𝐙𝐈𝐀𝐑𝐀 𝐘𝐀 𝐊𝐔𝐙𝐔𝐍𝐆𝐔𝐌𝐙𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐔𝐍𝐃𝐈 𝐌𝐁𝐀𝐋𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐉𝐀𝐌𝐈𝐈

alternative

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndugu Rabia Abdalla Hamid, leo tarehe 14 Juni, 2026 amepokelewa rasmi katika Ofisi za CCM Mkoa wa Lindi kuanza ziara yake ya kikazi. Katika ziara hiyo, Ndugu Rabia atakutana na kuzungumza na makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo wakulima, wafugaji, wavuvi, Mama Lishe, Baba Lishe, vyama vya ushirika pamoja na vikundi vya ujasiriamali kwa lengo la kusikiliza maoni, changamoto na matarajio yao. Tembelea: www.ccm.or.tz _____ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #TabasamuKwaKilaMtanzania #RabiaAbdallaHamid

alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine