Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


🔰𝐍𝐃𝐆. 𝐑𝐀𝐁𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐙𝐔𝐍𝐆𝐔𝐌𝐙𝐀 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐔𝐍𝐃𝐈 𝐌𝐁𝐀𝐋𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐉𝐀𝐌𝐈𝐈, 𝐓𝐀𝐀𝐒𝐈𝐒𝐈, 𝐍𝐆𝐎'𝐒 𝐍𝐀 𝐕𝐘𝐀𝐌𝐀 𝐌𝐁𝐀𝐋𝐈𝐌𝐁𝐀𝐋𝐈 𝐕𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐉𝐀𝐌𝐈𝐈

alternative

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndugu Rabia Abdalla Hamid, anatarajia kufanya ziara maalum ya kukutana na makundi mbalimbali ya kijamii, taasisi, NGO's na vyama vya kijamii katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na Njombe. 📍 14/06/2026 – Lindi 📍 15/06/2026 – Mtwara 📍 17/06/2026 – Ruvuma 📍 18/06/2026 – Njombe Wakulima, wafugaji, wavuvi, wachimbaji wa madini, wenye mahitaji maalum, wanavyuo, vyama vya ushirika, wajane, mama lishe, baba lishe, waendesha bodaboda, bajaji, daladala, maguta pamoja na vikundi vya wajasiriamali mnakaribishwa kushiriki na kuwasilisha maoni, ushauri na changamoto zenu. Tembelea: www.ccm.or.tz ________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #TabasamuLaKilaMtanzania #CCMIpoKazini

alternative
Habari Nyingine