Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗔𝗥𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗚𝗢𝗠𝗔

alternative

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kigoma kwa ajili ya kuendelea na Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Kigoma tarehe 12 Septemba, 2025.

Dkt. Samia amewasili mkoani humo na tayari wananchi wa Kigoma wapo tayari kusikiliza sera za CCM na ahadi zake, kuanzia kesho Jumamosi tarehe 13 Septemba 2025.

alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine