Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)

alternative

WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA (GENERAL)

•⁠  ⁠Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ametembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma leo Novemba 15, 2025.
•⁠  ⁠Ametoa maagizo kwa Wizara ya Afya, MSD na hospitali zote nchini.
•⁠  ⁠Ameagiza wajawazito kuhudumiwa kwa haraka mara wanapowasili hospitalini.
•⁠  ⁠Ameagiza hospitali kuhakikisha upatikanaji wa dawa za kutosha.
•⁠  ⁠Amesisitiza matumizi sahihi ya mifumo ya malipo katika utoaji wa huduma.
•⁠  ⁠Wananchi wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maboresho makubwa ya huduma za afya nchini.

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine