Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐌𝐀𝐏𝐎𝐊𝐄𝐙𝐈 𝐘𝐀 𝐊𝐀𝐓𝐈𝐁𝐔 𝐖𝐀 𝐍𝐄𝐂, 𝐈𝐓𝐈𝐊𝐀𝐃𝐈, 𝐔𝐄𝐍𝐄𝐙𝐈 𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐍𝐙𝐎 𝐂𝐂𝐌, 𝐍𝐃𝐔𝐆𝐔 𝐊𝐄𝐍𝐀𝐍𝐈 𝐋𝐀𝐁𝐀𝐍 𝐊𝐈𝐇𝐎𝐍𝐆𝐎𝐒𝐈, 𝐎𝐅𝐈𝐒𝐈 𝐙𝐀 𝐂𝐂𝐌 𝐖𝐈𝐋𝐀𝐘𝐀 𝐘𝐀 𝐀𝐑𝐔𝐒𝐇𝐀 𝐌𝐉𝐈𝐍𝐈

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, amepokelewa na viongozi pamoja na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi katika Ofisi za CCM Wilaya ya Arusha Mjini leo tarehe 06 Juni, 2026, kuanza rasmi ziara yake ya kikazi wilayani humo. Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhai wa Chama, kusikiliza wananchi, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kujionea maendeleo yanayopatikana kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. MTUMISHI WA WOTE Tembelea: www.ccm.or.tz ________ #KaziNaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #KaziInaendelea

alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative alternative
Habari Nyingine