Makao Makuu - Dodoma
#CCM Imetimia KaziIendelee

Habari na Matukio Mbalimbali


𝐒𝐀𝐒𝐀 𝐍𝐈 𝐀𝐑𝐔𝐒𝐇𝐀 𝐌𝐉𝐈𝐍𝐈, 𝐌𝐖𝐄𝐍𝐃𝐎 𝐌𝐃𝐔𝐍𝐃𝐎!

alternative

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Arusha kwa kutembelea Wilaya ya Arusha Mjini leo tarehe 06 Juni, 2026. Ziara hiyo ni sehemu ya mwendelezo wa juhudi za kuimarisha uhai wa Chama, kusikiliza wananchi, kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM pamoja na kuimarisha mshikamano kati ya Chama na wananchi. Wanachama wa CCM na wananchi wote wa Arusha Mjini mnakaribishwa kushiriki katika shughuli mbalimbali za ziara hiyo. MTUMISHI WA WOTE NDUGU KENANI LABAN KIHONGOSI Tembelea: www.ccm.or.tz ____________ #KazinaUtuTunasongaMbele #CCMIpoKazini #KaziInaendelea

alternative
Habari Nyingine