UKumbi  wa Mikutano wa Chama
UKumbi  wa Mikutano wa Chama
previous arrow
next arrow
Slider

CCM

Chama Cha Mapinduzi

Salamu za pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Mh Dkt John Magufuli

Nawapongeza wanachama na wakereketwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa chama chetu kutimiza miaka 43 tangu kuzaliwa. Tunaposherehekea siku hii muhimu kwa kazi tuendeleze misingi ya chama chetu, tusimamie utekelezaji wa Ilani na tudumishe amani, upendo na mshikamano. CCM HOYEE!