UKumbi  wa Mikutano wa Chama
UKumbi  wa Mikutano wa Chama
previous arrow
next arrow
Slider

CCM

Chama Cha Mapinduzi

Viongozi 1,780 wa CCM wahudhuria mkutano ulioitishwa na Magufuli

Dar es Salaam. Katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally amesema mkutano wa chama hicho tawala ulioitishwa na Rais John Magufuli  umehudhuriwa na wajumbe 1,780 kati ya 1,800 waliotakiwa kuwepo.

Dk Bashiru ameyasema hayo leo Ijumaa Januari 24, 2020 katika mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.

Walioshiriki mkutano huo ni viongozi wa CCM ngazi ya mikoa na wilaya kutoka Mikoa yote nchini.