Taarifa kwa Umma
Hivi karibuni
Kazi na Utu,Tunasonga Mbele.
Tovuti ya kisasa ya CCM—kwa mawasiliano ya wazi, ushirikishwaji wa wanachama na taarifa za wakati.
Huduma za haraka
Malengo ya Chama
Mambo Manne Muhimu ya CCM
Kushika Dora
Kusimamia Serikali
Kuleta Maendeleo kwa Wananchi
Kuendeleza Imani na Malengo ya CCM
Habari na Matukio
Taarifa, matamko na machapisho kwa umma.
Maendeleo na Uwekezaji
Miradi ya Chama na Fursa za Uwekezaji
Fuatilia miradi ya maendeleo ya CCM na fursa za uwekezaji zilizowazi kwa washirika, wawekezaji na wananchi.
Fursa za Uwekezaji & Mafunzo
Fursa wazi za ushirikiano na uwekezaji chini ya mwongozo wa CCM.
Fursa mpya zinatolewa kila mwezi
Wasiliana kwa uwekezajiNguvu, Uwepo na Uongozi wa Chama
Takwimu zinazoonyesha upeo wa CCM nchini—kutoka wanachama hadi muundo wa uongozi wa chama katika kila ngazi.
Matangazo na Taarifa
Kampeni, Matukio, Wabunge na Mikutano
Pata taarifa za haraka kuhusu kampeni, matukio muhimu, shughuli za wabunge na mikutano ya wananchi kutoka CCM.
Kampeni
Matangazo na hamasa za kampeni za CCM.
Jisajili kupiga kura 2027
Uchaguzi wa CCM
Hamasa ya CCM Mashinani
Mikoa 26
Matukio
Matukio, mikutano mikuu na sherehe za Chama.
Uzinduzi wa Makao Makuu ya CCM
Dodoma · Feb 2027
Sherehe za Kuzaliwa CCM
Sherehe ya Chama
Wabunge
Matangazo na taarifa kutoka kwa wabunge wa CCM.
Wabunge watakaozuru jimbo lako
Ratiba ya ziara
Kazi za mbunge katika jimbo
Ufuatiliaji wa ahadi
Mikutano
Mikutano ya wananchi, wadau na viongozi wa Chama.
Siku ya Kusikiliza Wananchi
Alhamis, 03:00 Asubuhi - 11:00 jioni
Mkutano wa Mwaka wa CCM wa Shina
Shiriki kwenye Shina lako
Viongozi Wakuu wa CCM
Muhtasari wa viongozi wakuu wa Chama.
Idara za Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Idara za CCM ni vitengo maalum vinavyoshughulikia maeneo mbalimbali ya sera, mawasiliano, ushirikishwaji wa wanachama, na huduma kwa wananchi.
Nguvu za Chama
Jumuiya za Chama
Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mrengo maalum ulioundwa kusimamia na kueneza sera, kuimarisha uhai wa chama, na kuunganisha makundi mbalimbali ya kijamii.
UVCCM
Umoja wa Vijana
Inajishughulisha na kuhamasisha vijana, kushiriki shughuli za kijamii, na kujenga mustakabali wa chama.
- Uongozi wa vijana
- Hamasa ya chama
- Maendeleo ya kitaifa
UWT
Umoja wa Wanawake
Inalenga kuhamasisha wanawake na kutetea maslahi yao ndani na nje ya chama.
- Uwezeshaji wa wanawake
- Masuala ya kijamii
- Ushiriki wa kisiasa
WAZAZI
Jumuiya ya Wazazi
Ina jukumu la kutoa elimu, kuenzi maadili, na kushirikisha wazazi katika maendeleo ya chama.
- Maadili na malezi
- Elimu ya kijamii
- Ushirikishwaji wa familia
Vyama Rafiki
Ushirikiano CCM na Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika.

ANC

MPLA

FRELIMO

ZANU-PF

SWAPO

CPC
Mitandao ya Kijamii
Tufuate kwenye mitandao ya kijamii kwa taarifa, matangazo na maudhui mapya.