Picha/Video

Taarifa kwa Umma

Hivi karibuni

Kazi na Utu,Tunasonga Mbele.

Tovuti ya kisasa ya CCM—kwa mawasiliano ya wazi, ushirikishwaji wa wanachama na taarifa za wakati.

Malengo ya Chama

Mambo Manne Muhimu ya CCM

Kushika Dora

Kusimamia Serikali

Kuleta Maendeleo kwa Wananchi

Kuendeleza Imani na Malengo ya CCM

Habari na Matukio

Taarifa, matamko na machapisho kwa umma.

Inapakia Habari ...

Maendeleo na Uwekezaji

Miradi ya Chama na Fursa za Uwekezaji

Fuatilia miradi ya maendeleo ya CCM na fursa za uwekezaji zilizowazi kwa washirika, wawekezaji na wananchi.

Miradi ya Chama

Miradi ya maendeleo yanayoendeshwa na CCM nchini kote.

0 miradi
Tazama miradi yote

Fursa za Uwekezaji & Mafunzo

Fursa wazi za ushirikiano na uwekezaji chini ya mwongozo wa CCM.

Wazi sasa

Fursa mpya zinatolewa kila mwezi

Wasiliana kwa uwekezaji
Takwimu za CCM

Nguvu, Uwepo na Uongozi wa Chama

Takwimu zinazoonyesha upeo wa CCM nchini—kutoka wanachama hadi muundo wa uongozi wa chama katika kila ngazi.

Matangazo na Taarifa

Kampeni, Matukio, Wabunge na Mikutano

Pata taarifa za haraka kuhusu kampeni, matukio muhimu, shughuli za wabunge na mikutano ya wananchi kutoka CCM.

Inachapishwa kila wiki
Inaendelea

Kampeni

Matangazo na hamasa za kampeni za CCM.

  • Jisajili kupiga kura 2027

    Uchaguzi wa CCM

  • Hamasa ya CCM Mashinani

    Mikoa 26

Angalia kampeni
Hivi karibuni

Matukio

Matukio, mikutano mikuu na sherehe za Chama.

  • Uzinduzi wa Makao Makuu ya CCM

    Dodoma · Feb 2027

  • Sherehe za Kuzaliwa CCM

    Sherehe ya Chama

Tazama matukio
Wabunge

Wabunge

Matangazo na taarifa kutoka kwa wabunge wa CCM.

  • Wabunge watakaozuru jimbo lako

    Ratiba ya ziara

  • Kazi za mbunge katika jimbo

    Ufuatiliaji wa ahadi

Orodha ya wabunge
Ratiba

Mikutano

Mikutano ya wananchi, wadau na viongozi wa Chama.

  • Siku ya Kusikiliza Wananchi

    Alhamis, 03:00 Asubuhi - 11:00 jioni

  • Mkutano wa Mwaka wa CCM wa Shina

    Shiriki kwenye Shina lako

Ratiba ya mikutano

Viongozi Wakuu wa CCM

Muhtasari wa viongozi wakuu wa Chama.

Inapakia viongozi...

Idara za Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Idara za CCM ni vitengo maalum vinavyoshughulikia maeneo mbalimbali ya sera, mawasiliano, ushirikishwaji wa wanachama, na huduma kwa wananchi.

Organizesheni
Idara hii ndio inayoshughulika na Vikao na Maamuzi ya vikao.
Itikadi na Uenezi
Kueneza na kufafanua Itikadi na Sera za CCM.
Uchumi na Fedha
Kuratibu mapato ya fedha za Chama nchini kote kwa ajili ya maamuzi ya uwekezaji wa Chama.
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa
Kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi na Sera za Kijamii za CCM.

Nguvu za Chama

Jumuiya za Chama

Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mrengo maalum ulioundwa kusimamia na kueneza sera, kuimarisha uhai wa chama, na kuunganisha makundi mbalimbali ya kijamii.

Vijana

UVCCM

Umoja wa Vijana

Inajishughulisha na kuhamasisha vijana, kushiriki shughuli za kijamii, na kujenga mustakabali wa chama.

  • Uongozi wa vijana
  • Hamasa ya chama
  • Maendeleo ya kitaifa
Fahamu zaidi
Wanawake

UWT

Umoja wa Wanawake

Inalenga kuhamasisha wanawake na kutetea maslahi yao ndani na nje ya chama.

  • Uwezeshaji wa wanawake
  • Masuala ya kijamii
  • Ushiriki wa kisiasa
Fahamu zaidi
Wazazi

WAZAZI

Jumuiya ya Wazazi

Ina jukumu la kutoa elimu, kuenzi maadili, na kushirikisha wazazi katika maendeleo ya chama.

  • Maadili na malezi
  • Elimu ya kijamii
  • Ushirikishwaji wa familia
Fahamu zaidi

Vyama Rafiki

Ushirikiano CCM na Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika.

ANC

ANC

MPLA

MPLA

FRELIMO

FRELIMO

ZANU-PF

ZANU-PF

SWAPO

SWAPO

CPC

CPC

Mitandao ya Kijamii

Tufuate kwenye mitandao ya kijamii kwa taarifa, matangazo na maudhui mapya.

YouTube
Video, hotuba na matukio.
Facebook
Habari na picha.
Instagram
Picha na reels.
X
Taarifa fupi na updates.