Tunatoa Shukurani za dhati kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.
Tunashukuru makundi mbalimbali ya wapiga kura kwa kuanza na Vijana, Wanawake na Wazee, Asanteni kwa kuchagua Viongozi makini na Imara kutoka Chama cha Mapinduzi kwa maslahi ya taifa la Tanzania.