CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jimbo la Muhambwe Leo.

alternative

Maelfu ya Wananchi wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Wamejitokeza Leo tarehe 04-05-2021 kwenye uzinduzi wa kampeni za chama cha mapinduzi, ambapo kwenye uzinduzi mgeni rasmi alikuwa ni Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi mbalimbali wa chama pia Walikuwepo.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50