CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akiongea na Wanachama wa CCM kwenye shina namba 05

alternative

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akiongea na Wanachama wa CCM kwenye shina namba 05, kijiji cha igalako kata ya Maongole katika Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kwenye Ziara ya Kuimarisha Chama cha Mapinduzi kwenye Mashina.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50