CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CNDD - FDD, DODOMA

alternative

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu  wa  Chama Tawala  Cha Burundi cha CNDD-FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo.

Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50