Habari/Matukio

Habari na Matukio Mbalimbali


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini ... 

alternative

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Jimbo la Mtwara Mjini  katika mkutano wa Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini Mkoani Mtwara leo Septemba 10,2020.

Habari Nyingine

alternative
Makamu Wa Rais Mteule , Mhe. Samia Suluhu Hassani akila kiapo kuwa Makamu Wa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili.

05-11-2020Makamu Wa Rais Mteule , Mhe. Samia Suluhu Hassani akila kiapo kuwa Makamu Wa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili. Sherehe ya kuapishwa kwa kiongozi huyo inaendelea katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

alternative
Rais Mteule, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili..

05-11-2020Rais Mteule, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo kuwa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili. Sherehe ya kuapishwa kwa kiongozi huyo inaendelea katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

alternative
Tunatoa Shukurani za dhati kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.

30-10-2020Tunashukuru makundi mbalimbali ya wapiga kura kwa kuanza na Vijana, Wanawake na Wazee, Asanteni kwa kuchagua Viongozi makini na Imara kutoka Chama cha Mapinduzi kwa maslahi ya taifa la Tanzania.

alternative
Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

30-10-2020Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Dkt John Pombe Joseph Magufuli.Tunatoka Shukurani za dhati kwa Wapiga kura wote waliofanikisha ushindi wa Kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.

Mawasiliano Ya Chama

Kuwa Karibu na CCM

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.

Unaweza Kupakua CCM APP


Ungana nasi katika Mitandao Ya Kijamii

Youtube Channel