KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN, aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma.