Rais Samia akishiriki katika Sherehe ya Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi..........
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Sherehe ya Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 12 Januari, 2022.