Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Ndg.Christina Mndeme ameshiriki maadhimisho ya siku ya Amani Duniani imeandaliwa na mtandao wa wanawake Africa (AWLN - WOMEN PEACE AND SECURITY PILLER) unaoratibiwa na UN WOMEN.
Aidha maadhimisho hayo yamejikita katika kujadili maswa mbalimbali dhidi ya ukatili kwa kijinsia kwa wanawake na watoto wa Africa.
Maadhimisho hayo yamefanyika Leo tarehe 21 Septmba,2022 katika Hoteli ya White Sand iliyopo Jijini Dar es Salam.