CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Kanali Lubinga atembembelea Hospital ya Rufaa Mkoa wa Mbeya

alternative

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga ametembelea na Kukagua Ujenzi na Ukarabati wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, ambapo Ujenzi wa Hospital hiyo Unafanywa na Mbeya University of Science and Technology, Leo Tarehe 13-07-2021.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50