MKUTANO MKUU WA KUMI WA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA
Mkutano Mkuu wa Kumi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania ambapo Uchaguzi wa Viongozi Ngazi ya Taifa Kupitia Jumuiya Ya Wazazi Unafanyika Leo Tarehe 24 Novemba 2022, Mgeni Rasmi wa Mkutano ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Abdulrahman Kinana, Mkutano Unafanyika Katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Jijini Dodoma.