Makamu Wa Rais Mteule , Mhe. Samia Suluhu Hassani akila kiapo kuwa Makamu Wa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili.
Makamu Wa Rais Mteule , Mhe. Samia Suluhu Hassani akila kiapo kuwa Makamu Wa Rais wa Tanzania kwa muhula wa pili. Sherehe ya kuapishwa kwa kiongozi huyo inaendelea katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.