CHONGOLO AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA GUNYODA - MBULU
Sekretarieti ya CCM Taifa ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo wanaendelea na ziara ya kukagua na kutekeleza Ilani ya CCM Mkoa wa Manyara leo tarehe 06 Machi 2023 Sekretarieti wametembelea na kukagua ujenzi wa Daraja la Gunyoda linalounganisha vijiji vya Mang’ola Mbulu na Gunyoda Pamoja na ukaguzi wa daraja la Gunyoda katibu Mkuu wa CCM amezungumza na wananchi wa wa Gunyoda na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi.