CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

alternative

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan,leo tarehe 21 Mei,2023 ameongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma iliyozunduliwa rasmi Jana.

#CCMIMETIMIA
#KAZIIENDELEE

alternative alternative alternative

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50