Rais Samia akiwa katika mazungumzo na Freeman Mbowe.......
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2022.