CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Mizengo Pinda amewaongoza wana CCM, kufunga kampeni Jimbo la Ushetu.......

alternative

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda amewaongoza wana CCM, kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga. Pichani viongozi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo uliofanyika katika Kata ya Bulungwa.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50