Chongolo pamoja na wajumbe wa Sekretarieti ya H/Kuu Taifa leo wamewasili mkoani Kigoma .....
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo pamoja na wajumbe wa Sekretarieti ya H/Kuu Taifa leo Novemba 18,2021 wamewasili mkoani Kigoma kwa ziara ya siku mbili Kuimarisha Chama pamoja na ukaguzi wa miradi inayotekelezwa mkoani humo.