Hongera Na Kila La Kheri Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania
Hongera Na Kila La Kheri Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan, Mhe Samia Ameapishwa leo tarehe 19-03-2021 kuwa Raisi wa Tanzania Baada Ya Kifo Cha Raisi John Pombe Magufuli kilichotokea tarehe 17-03-2021.