CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 8

alternative

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 8 katika Kijiji  cha Namichiga, Kata ya Namichiga  Wilayani Ruangwa, Lindi ikiwa siku ya kwanza ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50