MHE. RAIS SAMIA AKISHIRIKI JUKWAA LA BIASHARA KATIKA ZIARA YAKE YA KISERIKALI, AFRIKA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa yaliyofanyika katika Ofisi za Majengo ya Muungano, Pretoria nchini Afrika Kusini Machi 16, 2023.