MAADHIMISHO YA MIAKA MIWILI YA KISHINDO YA RAIS DKT. SAMIA SAULUHU HASSAN.
Maadhimisho ya Miaka Miwili (2) ya kishindo ya Dkt Samia Suluhu Hassan, ambapo Chama Cha Mapinduzi Kitaifa yanafanyika Mkoa wa Mbeya.
Mgeni Rasmi ni Ndg Mohamed Said Mohamed (DIMWA), Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar.
Pamoja na shughuli nyingine Mgeni Rasmi alipata fursa ya kutembelea jengo jipya la hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya iliyojengwa na Serikali ya awamu ya sita chini Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
March 18,2023. Uwanja wa Ruanda Nzovwe Mkoani Mbeya.