Mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema ...
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati Nyimbo za Taifa (Tanzania na Zambia) zikipigwa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JNIA Terminal 1 Dar es Salaam