MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI – MEI MOSI, WATUMISHI WA CCM WASHIRIKI DODOMA
Watumishi wa CCM na Jumuiya zake Makao Makuu Pamoja na Mkoa wa Dodoma Wameshiriki Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) yaliyofanyika Kimkoa Mkoani Dodoma na Kuhudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Anamringi Macha Pamoja na Viongozi mbalimbali Kutoka Taasisi Mbalimbali, Sherehe za Mei Mosi Zimefanyika Mapema Leo Tarehe 01-05-2023 Katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma.