CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme (kulia) na Mwenyekiti wa Shina namba 13 Jang’ombe Ndugu Ali Suleiman Hassan (kushoto) wakicheza nyimbo maalum ...

alternative

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Ndugu Christina Mndeme (kulia) na Mwenyekiti wa Shina namba 13 Jang’ombe Ndugu Ali Suleiman Hassan (kushoto) wakicheza nyimbo maalum ya kusheherekea kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM alimuwakilisha Katibu Mkuu wa CCM katika ziara ya Jimbo la jang’ombe lenye historia nyingi na za kipekee nchini, ikiwa sehemu ya ziara ya Ukaguzi, Usimamiaji, Uhamasishaji na Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 – 2025 pamoja na kukagua uhai wa CCM katika ngazi za mashina.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50