CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM umefanyika Leo CCM Makao Makuu....

alternative

Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ambayo yeye ni mjumbe . Mkutano huu umefanyika Makao Makuu ya CCM White House jijini Dodoma, agenda Kuu ikiwa ni kujaza nafasi za uongozi ndani ya Chama zilizo wazi kwa sababu mbalimbali, kuelekea Mkutano Mkuu wa Chama utakaowathibitisha, kesho tarehe 30 April 2021.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50