Habari/Matukio

Habari na Matukio Mbalimbali


Mh. Rais Magufuli na Mwenyekiti wa CCM, Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa Ya CCM

alternative

Mh. Rais Magufuli na Mwenyekiti wa CCM, Akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa Ya CCM, Ofisi ndogo Lumumba Dar es Salaam

Habari Nyingine

alternative
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilisha na kusaini Fomu za maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais.

03-07-2020Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilisha na kusaini Fomu za maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kuzijaza Fomu hizo na kupita wadhamini katika mikoa yote ya Tanzania.

alternative
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa CCM.

03-07-2020Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa CCM ,wafanayakazi na  Sekretariet ya Chama cha Mapinduzi mara baada ya kuzungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

alternative
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Sekretariet ya Chama cha Mapinduzi.

03-07-2020Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Sekretariet ya Chama cha Mapinduzi mara baada ya kuzungumza katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

alternative
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya Ukumbi wa NEC

03-07-2020Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kurudisha Fomu ya Maombi ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuzijaza Fomu hizo na kupita wadhamini katika mikoa yote ya Tanzania.

Mawasiliano Ya Chama

Kuwa Karibu na CCM

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.

Unaweza Kupakua CCM APP


Ungana nasi katika Mitandao Ya Kijamii

Youtube Channel