CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JMT NDG. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA VIONGOZI KUMUAGA MZINDAKAYA

alternative

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JMT NDG. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA VIONGOZI KUMUAGA MZINDAKAYA.

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi Mbalimbali katika ibada ya kuaga mwili wa Mwanasiasa mkongwe marehemu Chrisant Mzindakaya katika Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50