Waziri Mkuu wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa Mgeni Rasmi Kwenye Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jimbo la muhambwe.......................
Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Leo tarehe 04-05-2021 kumefanyika uzinduzi wa kampeni za chama cha mapinduzi, ambapo kwenye uzinduzi mgeni rasmi alikuwa ni Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi mbalimbali wa chama pia Walikuwepo. siku ya kupiga kura wananchi wamesisitizwa Kumchagua Mgombea wa CCM ili aweze kuleta maendeleo katika jimbo hilo.