MAPOKEZI YA VIONGOZI VIJANA KATIKA SHULE YA UONGOZI YA MWALIMU JULIUS NYERERE – KIBAHA
Mwenyekiti Wa Umoja Wa Vijana Wa CCM Taifa Ndugu Mohammed Kawaida Pamoja Na Mkuu Wa Shule Prof. Marcellina Mvula Chijoriga Wameshiriki Mapokezi Wa Viongozi Vijana Kutoka CCM Waliofika Shule Ya Uongozi Ya Mwalimu Julius Nyerere Kwaajili Ya Kushiriki Mafunzo Ya Uongozi Kwa Vijana Kutoka Vyama Sita Rafiki Kusini Mwa Afrika, Mafunzo Hayo Ya Viongozi Vijana Yataanza Tarehe 27 Marchi Hadi 07 April 2023, Kibaha Mkoani Pwani.