CCM - Chama Cha Mapinduzi
Muda Wa Kazi: 24/7

Habari na Matukio Mbalimbali


Shaka Hamdu Shaka akiongea na Wakazi wa Bagamoyo, Tarafa ya Tukuyu.....

alternative

Wakazi wa Bagamoyo, Tarafa ya Tukuyu wakiwa wamejitokeza kwenye Mkutano wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka na Balozi Said Mwakisisile wa shina namba 6, Kata ya Bagamoyo, Tarafa ya Tukuyu Wilaya ya Rungwe ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM na Sekretarieti ya CCM Taifa mkoani Mbeya leo Julai 11, 2021.

Maoni & Mawasiliano

Unaweza kuwasiliana na CCM, kwa kutumia anuani hapo chini kwa Maswali yoyote na Maoni.
Chama Cha Mapinduzi, Kuu Street, P.O.Box 50, Dodoma-TZ.
Barua Pepe
Muda Wa Kazi
24/7
Anuani
P.O.Box 50