uzinduzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuashiria uzinduzi wa Vihenge na Maghala ya Kisasa ya kuhifadhia Chakula katika hafla iliyofanyika Babati mkoani Manyara tarehe 22 Novemba, 2022.